Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya leo Agosti 5, 2021 amefika Mahakamani kusikilizwa kwa shauri lake la jinai namba 105/2021 huku akiwa amezungushiwa kitu kwenye mkono wake baada ya jana Agosti 4, 2021 kuripotiwa kuwa Mgonjwa.
BOSS WA POLISI ASEMA SABAYA ALIFANYA MAKOSA “ANAVUJA DAMU MASIKIONI”