Michezo

Tazama shangwe la Mashabiki wa Simba SC wambeba Morrison Aiport DSM (Video+)

on

Ni July 26, 2021 ambapo Simba SC tayari imeshawasili Dar es Salaam baada ya kutwaa ubingwa wa goli 1-0 dhidi ya Yanga FC katika mchezo uliochezwa July 25, 2021 katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.

Hapa nimekusogezea hii video ushuhudie shangwe alizopewa Mchezaji wa Simba SC, Bernard Morrison Airport DSM.

 

TAZAMA MAPOKEZI YA SIMBA SC AIRPORT DSM, ZIMBWE AFUNGUKA ‘”MWAKANI TUNACHUKUA TENA”

Soma na hizi

Tupia Comments