Top Stories

Tazama style za vijana wanavyocheza na pikipiki bila woga Arusha “tunaita dede”

on

Arusha ni sehemu ambayo ina mambo mengi sana millardayo.com imepita mtaani nakukuta vijana wakiwa wanacheza na pikipiki kwa aina tofauti ambapo kwa mujibu wa maelezo yao wanadai kwamba huwa wanakutana kwa ajili yakufanya mashindano na mcheo huo wanauita ‘dede’

MAMA AFARIKI AKIWA ANAPAMBANIA UJENZI WA NYUMNBA YA DAKTARI BAADA YA WANAWAKE 20 KUFARIKI

Soma na hizi

Tupia Comments