Hii ni sehemu ya pili ya mahojiano ya Kijana Mbunifu Zuberi Abdallah Ismail mkazi wa Manispaa ya Kigoma ujiji aliyebuni kituo cha Radio kinachorusha Matangazo yake kutokea nyumbani kwao ulipo mnara na transmitter aliyobuni ya redio hiyo.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi