Top Stories

Tazama video Rugemalira baada ya kuachiwa huru, afika Kanisani (video+)

on

Baada ya kusota mahabusu kwa takribani miaka 4, Hatimaye aliyekuwa Mkurugenzi wa IPTL, mfanyabiashara James Rugemalira ameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.

Sasa hapa nimekusogezea video hii ushuhudie akiwa amefika Kanisani kutoa shukrani baada ya kuachiwa Huru.

KESI YA MBOWE NA WENZAKE BADO HAIJAANZA, WAFUASI WA CHADEMA WAZUILIWA KUINGIA MAHAKAMANI

Soma na hizi

Tupia Comments