Michezo

Tazama wachezaji wa Real Madrid walivyokuwa wakirekodi wimbo wa kushangilia ubingwa

on

article-2639065-1E35EA0000000578-654_634x437Real Madrid walibeba ubingwa wa 10 wa kihistoria wa ulaya wikiendi hii, walishangilia ubingwa kwenye mitaa ya jiji la Madrid wakiwa na mashabiki wao wapatao 80,000, lakini Cristiano Ronaldo, Bale na wenzao hawakushia pale tu.

Mastaa hao wa Madrid waliungana na timu nzima kuingia studio kurekodi version mpya ya wimbo wa klabu wa ‘HalaMadrid’.

Wimbo huo kwa sasa unapatikana kwa kuuzwa kwenye  iTunes, na hapo chini ni picha wakati walipokuwa wakirekodi wimbo huo.

article-2639147-1E35F0C300000578-684_634x423

article-2639147-1E35F0CB00000578-310_634x423

article-2639147-1E35F0A700000578-11_634x423

article-2639147-1E35F00F00000578-513_634x423

article-2639147-1E35F01900000578-237_634x423

Tupia Comments