Baadhi ya Wafuasi wa CHADEMA waliofika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe wamekamatwa na Askari Polisi baada ya kuinua mabango na kupiga kelele kwamba “Mbowe sio Gaidi”.
Ayo TV inaripoti kutoeka Mahakamani muda huu unaweza ukatazama hapa kile kianchojiri muda huu Mahakamani.
MTANDAO WAKWAMISHA KESI YA MBOWE, MAHAKAMA YATOA MAELEKEZO “WALIOKAMATWA TUNAWAFATILIA”