Top Stories

Tazama Wasomali na wenzao waangua kiliuo hadharani, Kamanda asimulia alivyowakamata (video+)

on

Wahamiaji haramu 17 raia wa kigeni wakiwemo 16 kutoka nchini Ethiopia na wawili kutoka nchini Somalia wameangua kilio katika kituo cha Polisi Morogoro baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi  wakati wakisafirishwa  kinyemela kuelekea nchini Afrika Kusini.

MWIJAKU ATINGA KWA HARMONIZE, AJITAMBA “NIMEFUATA KODI, MAMBO YAENDE NINA FAMILIA, TAJIRI”

Tupia Comments