Top Stories

Tazama watu walivyokusanyika kwa Bilionea Laizer “kama hujala labda umefunga” (+video)

on

Watu mbalimbali ikiwemo waanyakazi wa bilionea Laizer wameweza kufika nyumbani kwake katika kijiji cha Leisinyai mkoani Manyara ikiwa ni kula pamoja nakumshukuru Mungu baada yakubahatika kupata madini ya Tanzanite yenye thamani ya Billion 7.8

“Nimefurahia mualiko wa Bilionea Laizer ndio maana tumefanya kazi kwa nguvu na sherehe hii ni kwa ajili yetu kwa sababu sisi ni wachimbaji wake,inaweza kuwa  watu zaidi ya elfu mbili yani kama kuna mtu hajala labda amefunga”-Kibanda

BILIONEA LAIZER ACHINJA NG’OMBE SITA WATU WALE BURE NYUMBANI,ATAKA KUMUONA RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments