Top Stories

Tazama Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akichanjwa chanjo ya Uviko-19

on

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Akipata chanjo ya Covid-19, Ikulu Jijini Dar Es Salaam Leo Julai 28, 2021

Ayo TV imekusogezea ushuhudie Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata chanjo ya kujikinga Uviko-19 katika uzinduzi huo unaofanyika muda huu

LIVE : WAZIRI MKUU “TUNAANZA KUHAMASISHA WATU KUJITOKEZA KUCHANJA, SERIKALI HAINA DHAMIRA MBAYA”

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments