Top Stories

Tazama Waziri Mkuu Majaliwa alivyofika ofisini kwa Makamu wa Rais (video+)

on

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Septemba 15,2021 Amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.
Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

DC JOKATE AFUNGUKA KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA KUGOMBEA 2025 “TWENDA NA MAMA”

Soma na hizi

Tupia Comments