Habari za Mastaa

Tazama Zuchu alivyotinga na Rolls Royce ya Diamond katika listening party ya EP ‘FOA’

on

Ni Machi 10, 2022 ambapo Diamond Platnumz alifanya listening Party ya EP iitwayo FOA katika ukumbi wa Slipway uliopo Masaki Dar es Salaam.

Sasa miongoni mwa waliohudhuria ni Zuchu ambae hapa nimekusogezea video utazame alivyotinga na gari la Diamond aina ya Rolls Royce.

Soma na hizi

Tupia Comments