Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: #Exclusive: Unataka kuona mshindi wa BSS 2013 amezitumiaje milioni 50 zake? picha za alivyovifanya ziko hapa
Share
Notification Show More
Latest News
Maneno ya Manara kuelekea Mchezo wa Yanga na Simba leo, “Nendeni mkapiganie Jezi na jina la Club’
August 13, 2022
Video: Mo Dewji alivyokutana na Wachezaji wa Simba, kuelekea mchezo dhidi ya Yanga
August 13, 2022
Picha: Kinachojiri kwa Mkapa kwenye mechi ya Watani wa jadi ‘Simba na Yanga’
August 13, 2022
Kizz Daniel alivyopanda jukwaani na bendera ya Tanzania, Watanzania wamsamehe kwa yale yaliyotokea
August 13, 2022
Video: Hamisa Mobetto aonesha gari jipya alilonunuliwa na mpenzi wake
August 13, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > #Exclusive: Unataka kuona mshindi wa BSS 2013 amezitumiaje milioni 50 zake? picha za alivyovifanya ziko hapa
Habari za MastaaMali za Mastaa

#Exclusive: Unataka kuona mshindi wa BSS 2013 amezitumiaje milioni 50 zake? picha za alivyovifanya ziko hapa

January 21, 2014
Share
1 Min Read
.
SHARE
.
.

Jina lake ni Emmanuel Msuya ambae usiku wa November 30 2013 Escape One Mikocheni Dar es salaam alitangazwa mshindi wa BSS kwa mwaka 2013 na kuzichukua MILIONI 50 kutokana na matokeo kamili ya mizani hiyo ya vipaji vya muziki kwa wachanga.

Unaambiwa kabla ya hapo, Msuya hakuwahi kushika au kumiliki zaidi ya shilingi laki tano… yani aliwahi kupata shilingi laki tano mara moja tu siku alipolipwa pesa ya miezi mitatu iliyotokana na mkataba wa kuifundisha na kuisimamia Kwaya ya KKKT kucheza ili ikafanye video.

Mambo matatu makubwa aliyoyafanya kwa hizi milioni 50 za ushindi wa BSS…. >>> Msuya amenunua nyumba ya milioni 17 nyumbani kwao Musoma mjini kama unavyoiona hapa chini kwenye picha, amenunua hili gari lenye thamani ya milioni 9, amejenga studio hiyo hapo juu kwenye picha ambayo imegharimu milioni 12 na tayari ameshapata nyumba ya kufanyia biashara ya Stationary Musoma Mjini.

.
.
.
.
.
Msuya ndio huyo mwenye shati jekundu na hii ndio ile siku aliyotangazwa mshindi wa zile milioni 50, ilikua November 30 2013.

You Might Also Like

Tanzania ya 3 kutumia Audiomack, wasanii changamkieni

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

Picha: Zuchu, Mwana FA na wengineo walivyotoa burudani hafla ya kuwaaga Wabunge

Str8upvibes kumleta ‘Kizz Daniel’ Tanzania?

Millard Ayo January 21, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Najua watu wengi watamsupport @FlavianaMatata kwenye hili, hii ni hatua nzuri
Next Article Sikiliza kilichomkuta Kajala baada ya kile kinachosemekana kumgombania Jamaa kupitia You heard ya leo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Maneno ya Manara kuelekea Mchezo wa Yanga na Simba leo, “Nendeni mkapiganie Jezi na jina la Club’
Sports August 13, 2022
Video: Mo Dewji alivyokutana na Wachezaji wa Simba, kuelekea mchezo dhidi ya Yanga
Sports August 13, 2022
Picha: Kinachojiri kwa Mkapa kwenye mechi ya Watani wa jadi ‘Simba na Yanga’
Sports August 13, 2022
Kizz Daniel alivyopanda jukwaani na bendera ya Tanzania, Watanzania wamsamehe kwa yale yaliyotokea
Entertainment August 13, 2022

You Might also Like

Entertainment

Video: Hamisa Mobetto aonesha gari jipya alilonunuliwa na mpenzi wake

August 13, 2022
Entertainment

Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani

August 12, 2022
Entertainment

Nandy ametuletea hii video mpya ya wimbo wake akiwa na Oxlade ‘Napona’

August 11, 2022
Entertainment

Meneja wa Diamond ‘Sallam’ atia neno baada ya Kizz Daniel kuwaomba radhi watanzania

August 10, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?