Mix

VIDEO: Taarifa kuhusu watu waliofukiwa na kifusi Mkoani Tabora

on

April 22 2017 Huko Mkoani Tabora katika mgodi wa Kitunda wachimbaji wa mgodi wadhahabu watano wanadaiwa kufariki Dunia baada ya kufunikwa na kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa madini.

Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Wilbroad Mutafungwa amiyambia Azam news kuwa watu watatu wamefanikiwa kuokelewa wakiwa majeruhi na kuthibitisha kwamba ni watu wanane tu ndowalikuwa ndani ya shimo wakiendelea na shughuli za uchimbaji mpaka mkasa huo kuwakuta.

Bonyeza Play hapa chini kutazama Full video

VIDEO: Waathirika wa dawa za kulevya wapewa elimu ya ujasiriamali

Soma na hizi

Tupia Comments