Top Stories

PICHA 10: Dr Tulia, RC Makalla walivyoongoza maombi kuinusuru Mbeya na ajali

on

Leo July 12, 2018 Naibu Spika Dr. Tulia Ackson na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla waliungana na viongozi mbalimbali wa Dini, Machifu pamoja na Wananchi wa Mbeya katika maombi ya kuombea Mkoa huo ili kuunusuru na matukio ya ajali za barabarani ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa mara. Maombi hayo yalifanyika katika Uwanja wa Ruanda-Nzovwe.

BREAKING LIVE: CHADEMA waweka wazi wagombea wake, wakana wagombea feki

Soma na hizi

Tupia Comments