Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: TBS inavyofanya kazi Bandarini na Mpakani “kampuni tano za ukaguzi”
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > TBS inavyofanya kazi Bandarini na Mpakani “kampuni tano za ukaguzi”
Top Stories

TBS inavyofanya kazi Bandarini na Mpakani “kampuni tano za ukaguzi”

November 25, 2022
Share
2 Min Read
SHARE

Wazalishaji na waingizaji wa bidhaa wametakiwa kushirikiana na Taasisi za Serikali ikiwemo Shirika la Viwango Tanzania (TBS) katika kuhakikisha kuwa ubora wa bidhaa zinazozalishwa na kuingizwa nchini unazingatiwa ili kusaidia katika kulinda uchumi wa nchi na kupunguza hasara kwa wafanyabiashara.

Ameyasema hayo leo Novemba 25,2022 Jijini Dar es Salaam, Mkaguzi kutoka kitengo cha Bidhaa zinazotoka nje ya nchi (TBS), Bw. Andalalisye Mwakyonde wakati akizungumza na waandishi wa habari ambao wamefanya ziara katika Makao  Makuu ya TBS Ubungo  Jijini Dar es Salaam.

Amesema TBS inafanya ukaguzi mipakani na Bandarini ili kuhakikisha kuwa bidhaa zote zinakidhi usalama na ubora uliowekwa hivyo amewataka waingizaji wa bidhaa kufuata taratibu zote pindi wanapotaka kuingiza bidhaa nchini.

“Shirika la Viwango Tanzania lina kampuni tano zinazofanya ukaguzikatika maeneo ya uzalishaji mkubwa wa bidhaa zinazoingizwa nchini ikiwa ni pamoja na CCIC Intertek , Bureau Veritas, SGS pamoja na TUV walioanza shughuli za ukaguzi mapema Agosti mwaka huu”. Amesema

Kwa upande wake Afisa Usalama wa Chakula Mkuu TBS, Bi. Coletha Sarimbo amesisitiza umuhimu wa usajili wa bidhaa hususani za chakula na vipodozi katika kuhakikisha ubora na usalama wa bidhaa husika ili kulinda afya za watumiaji na vilevile kusaidia wananchi kupata taarifa sahihi ya bidhaa kulingana na viambata vilivyopo kwenye bidhaa hizo.

Bi.Sarimbo alitoa wito kwa wafanyabiashara wanaoandaa matangazo yanayohusu vyakula na vipodozi kuyawasilisha TBS kwa ajili ya mapitio na baadae kupewa kibali ili kuhakikisha matangazo hayo hayamrubuni mlaji.

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA November 25, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 25, 2022
Next Article Wananchi wamkataa Mwenyekiti, wavuruga mkutano Chanzo, “Kutosomewa mapato Geita”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?