Top Stories

TBS watoa masharti kwa wanaotengeneza barakoa za vitambaa

on

TBS imewataka wanaotengeneza barakoa za kitambaa kuzingatia masharti ambayo ni kitambaa kiwe ni cha pamba asilimia 100, kiwe na uzito GSM 90-130, barakoa iwe na layers mbili, iweze kufunika pua na mdomo na iruhusu upumuaji pia iweze kufuliwa na kunyooshwa.

KIM JONG UN MBABE WA MAREKANI, AMUUA MJOMBA WAKE, AMEBADILISHWA SURA, MAAJABU YA BABA YAKE”

Soma na hizi

Tupia Comments