Ad

Top Stories

TBS waweka kambi Tabora msako wa bidhaa zisizokidhi viwango (+picha)

on

Mkaguzi wa TBS  Sileje Lushibika akiendelea na ukaguzi wa majengo ya bidhaa za chakula na Vipodozi katika eneo la Ipole, wilayani Sikonge ambapo alibani uwepo wa vipodozi vilivyokatazwa ambavyo viliondolewa kwa ajili ya kutekekezwa.

Mkaguzi wa TBS, Zena Mushi akiendelea na zoezi la usajili kwa wafanyabiashara wa bidhaa ya chakula na vipodozi katika kata ya Tutuo, Wilayani Sikonge- Tabora. Wafanyabiashara hao walifurahia kusogezewa huduma hiyo na kulitaka Shirika lifanye zoezi hilo Nchi zima

Mkaguzi wa TBS Bw,Sileje Lushibika akimsajili mfanyabiashara, Bw Hamza Rashid mara baada ya kukamilisha ukaguzi katika eneo la Sokoni Wilayani Sikonge-Tabora. Wafanyabiashara wanatakiwa wasajili majengo yao ili wapate kibali kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uuzaji, usambazaji na uhifadhi wa bidhaa za chakula na vipodozi

Soma na hizi

Tupia Comments