Mix

Namna ambavyo Tbs walivyoendesha operesheni kataza kuuza nguo za ndani za mitumba

on

IMG_5870Januari 15 wafanyabiashara wa nguo za ndani wa soko la Karume hawakuimaliza vizuri siku hii baada ya Shirikia la Viwango Tanzania[Tbs]kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Nchini kuendesha operesheni ya Kataza kuuza nguo za ndani ambazo zishatumika(mitumba).

IMG_5913Afisa Habari wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi Roida ameongea na waandishi wa habari mara baada ya kukamata kwa marobota hayo ya nguo za ndani ambapo amesema wamekamata nguo hizo za ndani kwa sababu walishazipiga marufuku kuuzwa hapa nchini kwa kukosekana kwa viwango vinavyotakiwa lakini wafanyabiashara hao wamekua wakikaidi agizo hilo na kuendelea kuuza.

IMG_5873                   Wafanyabiashara wa Karume wakiishuhudia hali hiyo.

Marobota ya nguo za ndani jana yalipakizwa kwenyemagari ya polisi na yalielekea kituo cha polisi cha msimbazi kwa ajili ya kuteketezwa kwa moto.

IMG_5904                                             Baadhi ya nguo za ndani zilizokamatwa.

IMG_5901

Tupia Comments