Mali za Mastaa

EXCLUSIVE: Picha 19 za nyumba mbili za Wastara zilizopigwa X Tabata ili zibomolewe

on

Bomoabomoa ilianza mwishoni mwa mwaka 2015 kwenye baadhi ya maeneo jijini Dar es salaam hasa ya mabondeni ikiwemo maeneo ya kando na mto msimbazi ambapo zoezi hilo lilisitishwa baada ya kesi inayopinga ubomoaji wa nyumba takribani 2619 za wakazi wa Tabata Segerea kufunguliwa.

Sasa April 22 2016 maamuzi ya kesi hiyo yalitolewa ambapo Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi ilisema kesi hiyo imekosa vigezo vya kisheria kutokana na kutokuwa na kibali cha wananchi wote kwa pamoja kinachoruhusu watu nane kufungua kesi badala ya wananchi wote.

Kama nyumba hizo zaidi ya elfu mbili zitabomolewa basi na hizi za mwigizaji wa bongomovie Wastara zitakua miongoni, ni nyumba ambazo anasema kiwanja chake alikinunua mwaka 2007 na gharama ya kuzijenga inazidi milioni 100 ambapo nyumba ya pili ndio kaimalizia juzi tayari kwa kuamia.

.

.

.

.

.

.Hii ni nyumba mpya ya Wastaa ambayo ilikuwa tayari imemalizika lakini nayo imepigwa alama ya X

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.Hii ni ndio nyumbao ambao anayoishi kwasasa ambayo nayo imepigwa X

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

ULIIKOSA YA NAY WA MITEGO KUHUSU MAMA WATOTO WAKE SIWEMA KUFUNGWA JELA MIAKA MIWILI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI.

 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments