AyoTV

VIDEO: “Kama wanataka kufanya Upolisi wazuie bidhaa zinazotoka nje” – Waziri Mwijage

on

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage amelitaka Shirika la Viwango Tanzania ‘TBS’ na Mamlaka ya Dawa na Chakula ‘TFDA’ kuacha kufanya kazi za Polisi kukamata watu badala yake watoe elimu kwa Wafanyabiashara na Wajasiriamali kuhusu ubora wa bidhaa ili waache kuingiza au kutengeneza bidhaa zisizokuwa na ubora.

Hii video hapa chini ina kila kitu, bonyeza play kutazama…

ULIPITWA? Lowassa afunguka kuhusu mitandao ya kijamii TZ, vyeti feki, Kongamano, Rais JPM na mengine…

Aliyetoa pesa gari la zawadi ya Miss TZ 2016 likanunuliwe afunguka…

Binadamu mzee zaidi duniani anayepatikana Tanzania.

Soma na hizi

Tupia Comments