AyoTV

BUNGENI: Maswali makubwa 7 siku ya mwisho Mkutano wa Nane

on

Leo September 15, 2017 katika mkutano wa nane wa Bunge la 11 ulioendelea Bungeni Dodoma, wabunge walipata fursa ya kuhoji Serikali masuala mbalimbali katika kipindi cha maswali na majibu. Na hapa nimekuzogezea maswali 7 makubwa yaliyoulizwa

Ulipitwa na hii?”Hivi nyie watu gani, haya ndio malipo kwa Spika?” – Job Ndugai

Hii je? ”Zitto utanifanya nini? ninaweza kukuzuia usiongee hadi mwisho wa Ubunge wako” – NDUGAI

Soma na hizi

Tupia Comments