Habari za Mastaa

Wayne Rooney na mpenzi wake pamoja na mastaa wenzake walivyotokea kwenye Harusi ya Tom Cleverley.. (Pichaz)

on

Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester United, Cleverley amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu, Georgina Dorsett katika shughuli ya kifahari iliyofanyika huko Claridge.
Ndoa hiyo ilihudhuriwa na mastaa wengi wa soka akiwemo nahodha wa klabu ya Manchester United na England, Wayne Rooney ambaye pia aliongozana na mkewe Coleen, Chris Smalling wa Man United, Danny Welbeck na wachezaji wengine, pia alikuwepo mwimbaji wa band ya The Saturdays, Rochelle Humes.

Cleverley na mkewe wakiwa wanatoka kanisani

Mchezaji wa Arsenal, Danny Welbeck

Wayne Rooney na Coleen Rooney Harusini

Wanandoa kwenye pozi la picha

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments