Mix

Mambo 15 ya kufahamu kuhusu kuhamia mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu

on

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ kwa kushirikiana na watoa huduma za simu nchini wameanzisha huduma ambayo itamuwezesha mtumiaji wa simu kuhama kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda mwingine bila kubadili namba, huduma hiyo inatarajiwa kuanza March mosi Mwaka huu.

Leo February 23 2017 kupitia clouds 360 ya clouds TV, Kaimu Naibu Mkurugenzi maendeleo ya TEHAMA kutoka TCRA, Mhandisi Nehemia Mwenisongole amefafanua baadhi ya mambo katika zoezi la kuhama mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu.

AyoTVMAGAZETI: Bosi Polisi alivyouawa akiwavaa majambazi, wanafunzi 7,000 vyuo vikuu matatani, Ungana na Alice Tupa kwa kubonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments