Mix

LIVE: Uzinduzi wa mwongozo kwa watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano

on

January 19 2018 mamalaka ya mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ wanazindua Mwongozo kwa watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe wamehudhuria kwa ajili ya uzinduzi huo.

Unaweza kutazama LIVE kwa kubonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments