Burudani

MC Pilipili – “Joti kuoa inamaanisha wachekeshaji ni watu serious na wanaweza kupenda”

on

Siku za hivi karibuni MC Pilipili alipopata nafasi ya kufanya Exclusive interview na Ayo Tv na millardayo.com alizungumza mambo mengi ikiwa ni pamoja na mpango wake wa kuoa.

Alizungumzia pia kuwa jambo la mchekeshaji Joti kuoa hivi karibuni na kutafanya mabinti waone kuwa wachekeshaji ni watu serious na wanaweza kupenda kama watu wengine.

Bonyeza play kwenye video hii hapa chini kuitazama interview nzima!!!

Ulipitwa na hii? MWANZO MWISHO AJALI YA MC PILIPILI

 

Soma na hizi

Tupia Comments