Mix

Matokeo ya majaribio ya toleo jipya la TECNO Phantom 6 itakayozinduliwa

By

on

Utafiti uliofanywa na Flurry unaonyesha kwamba watu wengi wanaingia kwenye internet za simu zao kupitia App na App za simu za mkononi zimekuwa maarufu kiasi kwamba sasa unaweza kupata ya karibia kila kitu.

Kwa bahati mbaya, kwa sababu tunapenda sana kutumia Apps, tunaweza kujikuta tumefungua Apps nyingi kwa mpigo bila kufahamu madhara yake kwenye simu zetu, na unapofungua Apps nyingi kwa wakati mmoja unaweza kusababisha simu yako ifanye kazi katika kiwango cha chini.

Majaribio ya toleo jipya la TECNO Phantom 6 yameonyesha kwamba unaweza kufungua app 50 kwa mpigo bila kupata tatizo lolote kwenye simu yako.

multiple-apps

 

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV SEPTEMBER 09 2016? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments