Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wabunifu na maajabu yao! Wamebuni gereza linalotembea baharini kama meli
Share
Notification Show More
Latest News
Breaking: William Ruto atangazwa kuwa Rais Kenya, Shangwe na furaha zaibuka mitaani Nairobi
August 15, 2022
Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’
August 15, 2022
Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu
August 15, 2022
Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’
August 15, 2022
Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania
August 15, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Maajabu > Wabunifu na maajabu yao! Wamebuni gereza linalotembea baharini kama meli
MaajabuMix

Wabunifu na maajabu yao! Wamebuni gereza linalotembea baharini kama meli

April 20, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Siku za hivi karibuni kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia ubunifu umekuwa sehemu muhimu katika maisha ya binadamu – binadamu ambaye kila siku hufikiria kuja na kitu kipya.

Leo April 20, 2017 nimekutana na stori hii ambapo unaambiwa wabunifu wa majengo nchini Panama wamekuja na ubunifu wa aina yake baada ya kubuni meli ambayo itatumika kama gereza kwa ajili ya kuwafunga watu na ambayo itakuwa inatembea baharini inayoitwa Panama Papers Jail.

Katika stori iliyochapishwa na Daily Mail April 19, 2017, wabunifu hao wamechora mchoro kwa ajili ya kutengeneza meli kubwa ambayo itakuwa na uwezo wa kuingiza hadi wafungwa 3,300 wanawake na wanaume wakati inatembea wakisema ni mpango maalum wa kuwafunga watu wanaokwepa kulipa kodi.

Wabunifu wamesema selo za gereza hilo zitatengenezwa kwa karatasi ambazo zitatumika kama tanga kuifanya meli hiyo kutembea.

Wabunifu Axel de Stampa, Sylvain Macaux na Guillaume Devaux kutoka Ecole d’Architecture de Paris-Belleville walisema: “Panama Papers’ Jail ni gereza lililotengenezwa kwa selo za karatasi. Gereza linajengwa eneo la kuegeshea meli lililopo kwenye bahari ya kimataifa likiangalia Panama City. Litakuwa na pande mbili za selo; moja kwa wanaume na nyingine kwa wanawake.” 

Meli hiyo imetengenezwa ikiwa ni sehemu ya 1week1project, tovuti ambayo hutoa wazo la ubunifu kila wiki kuhusu maisha ya kila siku.

VIDEO: Bajaji baada yakuingia kwenye barabara ya mwendo kasi, dereva kakimbia. Bonyeza play kutazama.

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo 

You Might Also Like

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

“Uchaguzi Kenya ni huru na uwazi”

Ruto anaongoza kwa Asilimia 50.85

TAGGED: Teknolojia, TZA HABARI, utafiti
Millard Ayo April 20, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rais Magufuli amekutana na viongozi wa TUCTA Ikulu DSM leo
Next Article VIDEO: Halima Mdee Vs Goodluck Mlinga Bungeni
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Breaking: William Ruto atangazwa kuwa Rais Kenya, Shangwe na furaha zaibuka mitaani Nairobi
Top Stories August 15, 2022
Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’
Top Stories August 15, 2022
Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu
Top Stories August 15, 2022
Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’
Sports August 15, 2022

You Might also Like

Sports

Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania

August 15, 2022
Sports

Inter Milan wawapa Yanga cha kusema, Shaffi Dauda atia neno, Manara apigilia msumari

August 15, 2022
Sports

Barbara awatuliza mashabiki wa Simba, wataka Mzungu aachwe wana mashabiki na mbinu za Kocha

August 15, 2022
Sports

Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?