Ad

AyoTV

VIDEO: Wabunge walivyosimama kumshangilia Rais mstaafu Kikwete

on

Mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo Dodoma. Mkutano huu ni kwa ajili kupitisha bajeti ya Serikali itakayowasilishwa bungeni June 15 mwaka huu.

Kati ya wageni waliotambulishwa leo mbungeni ni pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete, unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Nape alivyosimama kwa mara ya kwanza bungeni tangu atenguliwe Uwaziri 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments