Top Stories

Teleza adaiwa kukamatwa, wananchi wajaa Polisi “ana shanga na mafuta” (+video)

on

Wananchi mbalimbali wamekusanyika kwenye kituo cha Polisi cha Murieti mkoani Arusha baada kusikia kwamba amekamatwa Mtu ambae amepewa jina la ‘Teleza’ kutokana na jina lake halisi kutofahamika ambae amekua akiwabaka Wanawake kwa kuingia kwenye nyumba zao usiku kwa kutumia mbinu ya kuvunja madirisha.

Askari mgambo ambaye alishuhudia ukamatwaji wa Mtu huyo anasema amekamatwa akiwa na fimbo, shanga, kisu pamoja na nguo za ndani za Wanawake.

Soma na hizi

Tupia Comments