Mix

Kama una mpango wa kununua hisa za Vodacom Tanzania, kuna hii Good News

on

Kufuatia mabadiliko ya Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta ‘EPOCA’ yaliyofanywa hivi karibuni Kampuni ya Vodacom Tanzania imeongeza muda wa Toleo la Mauzo ya Hisa zake kwa wiki tatu (Muda wa Nyongeza wa Toleo) kuanzia July 10-28, 2017.

Tupia Comments