Tetemeko latokea Dodoma mtaalamu afunguka “Mawimbi yanasafiri kwa kasi” (video+)
Share
0 Min Read
SHARE
Ni Usiku wa kuamkia leo lilitokea tetemeko la Ardhi mkoani Dodoma maeneo ya Kaskazini Mashariki.
Ayo TV & Millardayo.com imempata mtaalamu wa jiolojia akielezea tetemeko hilo lenye kiasi cha km 44 kwenye safu ya milima ya Chenene lilikuwa na ukubwa wa 5.5 katika kipimo cha Richter.
Lakini mpaka sasa hivi imeripotiwa kuwa hakuna taarifa ya kutokea kwa madhara yoyote.