Ad

Michezo

TETESI: Pochettino ahusishwa kutua PSG

on

Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali vinaeleza kuwa, aliyekuwa kocha wa klabu ya Tottenham Hotspurs, Mauricio Pochettino huenda akateuliwa kuwa kocha mpya wa Paris Sainti Germain (PSG).

Hatua hiyo ni kufuatia miamba hiyo ya jiji la Paris kumfuta kazi kocha wake Thomas Tuchel. Bado taarifa zinaendelea kumiminika kuhusu Pochettino kuwa kocha mpya wa timu hiyo.

Kwa mujibu wa mwandishi wa Habari wa Sky Sport Fabrizio Romano, Pochettino anahusishwa mara nyingi zaidi kuwa kocha wa timu hiyo, mitandao wa ‘The Mirror na Express pia inaripoti hivyo.

JPM AWAKOSOA “KWENYE FOMU AJAZE VYOTE ALIVONAVYO HATA NYUMBA NDOGO”

Soma na hizi

Tupia Comments