Taarifa nilizozipokea kutokea Bukoba ni kwamba kuna tetemeko limetokea majira ya saa tisa alasiri, mmoja wa shuhuda wa tukio hilo ambaye ni mtangazaji wa radio Kasibante ya Bukoba amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
‘Maeneo ambayo yameathirika ni yale ya milimani, hata watu ambao wamejenga nyumba ambazo hazina ubora nao nyumba zao zimeanguka na wengine zimepata ufa, hospitali kuu Bukoba nimeshuhudia watu wanaletwa kwa magari na pikipiki wakiwa wamejeruhiwa‘
Kumsikiliza Mwandishi huyu kutoka Bukoba unaweza kubonyeza play hapa chini
ULIKOSA HII YA JESHI LA POLISI KUHUSU TETEMEKO LA ARDHI DODOMA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI