Michezo

TFF yamfungiwa muamuzi aliyeamua mpira uliyodakwa kuwa kona

on

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limetangaza rasmi kumuadhibu muamuzi wa mchezo wa Yanga na Lipuli uliyochezwa February 5 2020, uamuzi huo unakuja baada ya kupitia kwa kina kanda za marejeo ya picha za video zikimuonesha muamuzi Abubakar Mturo kushindwa kumudu mchezo.

TFF imetangaza kumfungia Abubakar Mturo amefungiwa miezi mitatu kuchezesha soka kwa kosa la kushindwa kumudu game ya Yanga Vs Lipuli February 5 2020 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, Mturo alikuwa gumzo kwa kuamua ipigwe kocha katika mpira uliyokuwa na utata kama goli au sio goli.

VIDEO: MASAU BWIRE ATOLEWA NA WANAJESHI, MASHABIKI WA YANGA WAMZONGA

Soma na hizi

Tupia Comments