Michezo

TFF yangaza mapato ya game ya Yanga na Simba SC

on

Ikiwa ni siku moja tu imepita toka mchezo wa wa watani wa jadi Simba na Yanga uchezwe uwanja wa Taifa, shirikisho la soka Tanzania TFF leo limetangaza mapato ya mchezo huo.

TFF wametangaza kuwa mapato ya mchezo wa Simba SC na Yanga SC kupitia makusanyo au viingilio vya geti jumla ni Tsh 545, 422,000/= (milioni 545).

Mchezo huo uliyomalizika kwa Simba SC kufungwa na Yanga kwa goli 1-0 ikiwa ni mara ya kwanza baada ya miaka minne kwa goli safi la Bernard Morrison dakika ya 44, ulihudhuriwa na watu 59325 uwanja wa Taifa ukiwa una uwezo wa kuchukua mashabiki 60000.

Soma na hizi

Tupia Comments