Michezo

TFF yatoa onyo kwa Simba, Yanga, Azam, KMC na Transit

on

Shirikisho la soka Tanzania TFF limetoa onyo kwa vilabu vya Simba SC, Yanga, KMC, Transit Cap na Azam FC kufuatia kucheza michezo ya kirafiki.

TFF limetoa katazo hilo na kutaka vilabu vitakavyotaka kucheza mechi za kirafiki lazima zionane nao kwanza, vilabu hivyo viliamua kucheza michezo ya kirafiki ili kujiweka fiti kuelekea kurejea kwa Ligi Kuu ambayo ilisimama sababu ya Corona.

Soma na hizi

Tupia Comments