Michezo

TFF yatoa tamko tuhuma za Kabwili wa Yanga kwa Simba

on

TFF limetoa tamko na kuanza kuzifanyia uchunguzi shutuma za golikipa wa Yanga Ramadhani Kabwili kudai kuwa aliahidiwa na kiongozi wa Simba ajitafutie kadi ya 3 ya njao kwa makusudi ili akose mchezo unaofuata vs Simba, watampa zawadi ya gari (Toyota IST).

Hata taarifa za chini ya kapeti zinadai kuwa Simba SC kesho watatoa tamko na kumtaka mchezaji huyo atoe uthibitisho kuhusiana na tuhuma hizo.

Soma na hizi

Tupia Comments