Michezo

Ilichokiandika TFF baada ya Mwakyembe kupewa dhamana ya Michezo

on

Baada ya taarifa ya IKULU leo March 23, 2017 kuhusu mabadiliko yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwenye Baraza la Mawaziri ambapo Dr. Harrison George Mwakyembe amechukua nafasi ya aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, Shirikisho la Soka Tanzania TFF limempongeza Mwakyembe.

“TFF linampongeza Dk. Mwakyembe kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mola na ambariki na kumuongoza. Amina.” – TFF

VIDEO: Maswali 9 aliyoyajibu Samatta baada ya kuungana na Taifa Stars. Bonyeza play kutazama hapo chini.

Soma na hizi

Tupia Comments