AyoTV

VIDEO: Kauli ya TFF kuhusu taarifa za Shabiki wa Simba aliyefariki baada ya goli la Kichuya

on

Jumamosi ya February 25 2017 ilichezwa moja kati ya michezo yenye mvuto na ushindani mkubwa kila inapotokea wawili hao wanapokutana, mechi ilimalizika kwa Simba kupata ushindi wa goli 2-1 lakini kuna taarifa za Shabiki wa Simba kufariki wakati Shiza Kichuya anaifungia Simba goli la pili.

Shirikisho la soka la Tanzania TFF limetolea ufafanuzi taarifa hiyo na kueleza kila kitu wanachokifahamu, bonyeza kwenye hii video hapa chini kufahamu kila kitu.

VIDEO: “Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani Kikwete baada ya kuona picha yake aliyopiga na Edward Lowassa” tazama kwenye hii video hapa chini kuna kila kitu

Soma na hizi

Tupia Comments