Michezo

VIDEO: Good news kwa Taifa Stars, TFF imesaini Tsh 2b kwa ajili yao

on

Good News kwa soka la Tanzania ni kuwa Shirikisho la Soka Tanzania, TFF limetiliana saini na Kampuni ya Serengeti Breweries ‘SBL’ mkataba wa miaka mitatu  ya udhamini wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ wenye thamani ya Tsh 2.1 bilioni.

Bonyeza play kwenye hii video hapa chini utafahamu kila kitu..

ISIKUPITE HII: Shabiki wa soka asiyeona lakini hakosi Taifa kushangilia…

ULIIKOSA HII? Itazamae hapa Simba SC na SportPesa walipotangaza good news…

 

Soma na hizi

Tupia Comments