Habari za Mastaa

Ngazi nyingine ya chuo cha filamu Tanzania, Jokate ashiriki nao

By

on

4February 06 chuo cha Tanzania Film Training Centre kilichopo Ubungo kimefanya uzinduzi wa wanafunzi wapya wa intake ya 9 tangu kuanzishwa kwa chuo hiko,ambacho kinatoa koz mbalimbali kama Film Acting,Film Editing,Film Directing,Script Writers na Photo Graphics.

1Miongoni mwa watu waliohudhuria uzinduzi huu ni pamoja na rais wa shirikisho la movie Tanzania Steve Nyerere,aliyekua Rais wa Shirikisho hilo Simon Mwakifamba,Mzee Kitime,Kajala pamoja na mgeni rasmi Jokate Mwegelo na shughuli iliongozwa na mkuu wa chuo hiko Pastor Myamba.

3Wanafunzi walipata nafasi ya kuonyesha maigizo yao,kiukweli yalivutia sana,kitu pia kilichomvutia Mwakifamba kuomba endapo watakuwa tayari kuyaweka kwenye Movie maigizo hayo yuko tayari kusimamia na kuongoza mwanzo hadi mwisho.

Hizi ni baadhi ya picha za uzinduzi huo.

5

7

6

8

2

Tupia Comments