Michezo

Taifa Stars wanashughulikia Mtu hapo Uwanja wa Taifa…. 3-0 tayari

on

Mambo ni hiviiiiii….. Taifa Stars ni fire leo, ni game iliyosubiriwa sana kwa hamu na sasa Vijana wa Taifa Stars wamewafurahisha Watanzania mpaka sasa japo mechi haijaisha Stars wanaongoza kwa 3-0.

Goili la mwisho ni la dakika ya 56 ambapo Agrey Moris ndio kaweka kitu ndani ambapo alieanza kufungua mlango ni Simon Msuva aliefunga la kwanza kwenye dakika ya 20, akafatiwa na Erasto Nyoni aliefunga kwenye dakika ya 50.

Kwa upande wa pili game ya Cape Verde vs Lesotho ilikua hivi mpaka half time

UWANJA UMEJAA, POLISI WATUMIA MABOMU KUONDOA WATU WAKATAZAME MECHI KWENYE TV

MBWEMBWE ZA PIERRE MZEE WA LIQUID UWANJA WA TAIFA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments