Top Stories

Waandishi wa habari ‘feki’ 50 kutoka Afrika wafukuzwa Australia

on

Kutoka nchini Australia, watu zaidi ya 50 ambao wanaelezwa kuwa raia wa nchini Ghana ambao walijaribu kuingia kwa kujifanya waandishi wa habari wamefukuzwa.

Watu hao wamefukuzwa nchini Australia baada ya kushindwa kujibu maswali  kuhusu michezo jambo ambalo lilifanya wajulikane kuwa sio waandishi wa habari kama walivyodai wakati wanaingia nchini humo.

Hatahivyo raia hao wamekutwa na nyaraka zote za kusafiria. Naibu Waziri wa Michezo wa Ghana, Pious Enam Hadidze, amesema kuwa wameanza uchunguzi kuhusu tukio hilo.

Zitto Kabwe kumpeleka Abdul Nondo Uhamiaji

 

Soma na hizi

Tupia Comments