Videos

VideoMPYA: Ni Navy kenzo tena….wametuletea ‘Morning’

on

Unakaribishwa kwenye Bongofleva, mimi na wewe tunaendelea kuzipokea video za single mpya kila siku ambapo leo ni zamu ya Navy Kenzo ambapo wametuletea hii video ya single yao iitwayo Morning.

Video imetayarishwa kwenye mji wa Tel Aviv nchini Israel huku ikiwa imeongozwa na Gleb Smirnov,  ukishaitazama usisahau kuiacha comment yako ili Navy Kenzo wajue watu wake wanasemaje.

ULIIKOSA SHOW YA NAVY KENZO TEL AVIV ISRAEL BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

ULIIKOSA HII YA MABESTE KUKUBALI KUFANYA KAZI NA B HITS MUSIC GROUP BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments