Michezo

VIDEO: Bondia Wilder bado ni mbabe, kamtandika Dominic kwa KO round ya kwanza

on

Bondia Mmarekani Deontay Wilder ameendelea kuwa mbabe kwa kuwapiga mabondia wenzake kwa Knock Out (KO), Wilder ameendelea na ubabe baada ya kufanikiwa kumtandika kwa KO mmarekani mwenzake Dominic Breazeale, Wilder amefanikiwa kumtandika kwa KO Dominic katika round ya kwanza katika pambano lenye round 12.

Baada ya kumpiga ngumi moja na kuanguka chini na kushindwa kuendelea na pambano hilo, hivyo ushindi huo unamfanya Wilder kuendelea kutetea Ubingwa wake wa WBC uzito wa juu, ushindi huo wa KO wa Wilder unakuwa ni ushindi wake wa 40 wa KO katika mapambano yake 42 aliyocheza.

Mzee Muchacho na Fahad wambananisha Haji Manara avae jezi ya Yanga SC

 

Soma na hizi

Tupia Comments