Mix

Camera za Mapaparazzi zilivyonasa gari za msafara wa Obama zikikatisha mitaa ya Nairobi.. (Pichaz)

on

beast-ri_653

July 23 2015 zimebaki saa chache kabla ya kushuhudia Rais Obama akitua Kenya, mambo yanazidi kunoga… yani unaambiwa kila unapokatisha mitaa ya Nairobi lazima utagundua vitu tofauti tofauti hivi vinavyoashiria kuwa kuna ugeni very soon !!

Kila mahali ambapo Obama anaenda huwa ana usafiri wa ndege yake ya Air Force One, na hata gari yake pia ambayo inaitwa  ‘Cadillac One, Limo One au The Beast

8161291561_6f92c923a4_b

Ndege ya Rais Obama, Air Force One.

Beast1

The Beast imekutwa kwenye Kituo cha Mafuta Nairobi ikijaza mafuta.

Zimenifikia hizi pichaz zikionesha gari za msafara wa Obama ikiwemo Limo One aka Cardillac One zikikatisha mitaa ya Nairobi.

beast2 (1)

beast2

Mwingine akaiona kwa mbaaali barabarani lakini hakutaka impite hivihivi.

beast3

Mwingine akainasa kwa dirishani kabisa.

DSC09939

pobsrpi4izyzwzg455af822915970

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments