Vituko/ Comedy

Hii ni ya wizi uliotokea kituo cha Polisi…

on

solid-gold-iphone5_1_7Ukisikia story kwamba kumetokea wizi katika kituo cha Polisi huwa ni story ambazo huwa zinashangaza wengi, jiulize hivi huyo mwizi anayeiba kituo cha Polisi amejiamini kiasi gani?

Adam Wisneski alienda kituo cha Polisi Illinois, Chicago Marekani, lengo lake ilikuwa kuripoti tukio la kuibiwa iPhone yake akiwa ndani ya treni na baadaye akapata mtu ambaye anaitumia akidai kwamba kauziwa simu hiyo, akamtaka ampatie access code za simu hiyo.

Baada ya kuripoti nje akakuta baiskeli yake haipo, akaitafuta hakuipata, ikabidi arudi ndani ya kituo hicho tena kwa ajili ya kuripoti kupotelewa baiskeli yake.

Hybrid-bicycle-1

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments