Habari za Mastaa

The Weekend anaileta kwako video ya ngoma yake mpya; ‘Tell Your Friends’ (Video).

on

the_weekend

Baada ya kuachia ‘Cant feel my Face’ msanii wa Muziki wa R&B Marekani The Weekend amerudi kuziweka healines kwenye kurasa za burudani.

weekend-vevo

Time hii amekuja na video ya wimbo wake mpya ‘Tell Your Friends’, wimbo unaopatikana kwenye album yake mpya iitwayo ‘Beauty Behind The Madeness’album ambayo itakuwa sokoni mwisho wa wiki hii.

Kama hujabahatika kuitazama video hiyo karibu uitazame hapa mtu wangu.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments