AyoTV

EXCLUSIVE: Tudd Thomas ameshatuma mdundo South Africa

on

Producer wa smash hit ‘make me sing’ ya Diamond Platnumz na rapper AKA wa Afrika Kusini Tudd Thomas ameweka wazi kuwa kuna mdundo mpya ameufanya  na tayari umemfikia rapper AKA.

Kwenye Exclusive ya AyoTV na millardayo.com alisema…Kutoka kwa AKA kuna project nyingine nimefanya nae kwasababu anapenda utendaji wangu wa kazi kwahiyo nimemtumia beat mbili kilichobaki kazi kwake kuchagua ipi apite nayo katika nyimbo zake’- Tudd Thomas

Alichokipenda kwangu ni ladha flani kama utakuwa unakumbuka Make me sing aliyofanya na Diamond nimeifanya mimi kwahiyo nadhani kuna sound kaiona kwenye ile ngoma ndio maana nikapata nafasi ya kumtumia beats zangu zingine’- Tudd Thomas

ULIIKOSA HII YA DIAMOND KUHUSU KUPANDA KWA ADA YA NAMBA BINAFSI ZA MAGARI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments